Wednesday, October 22, 2014

PICHAZ:MAELFU WAMUAGA YP, VILIO VYATAWALA

Msanii wa muziki kutoka kundi la Wanaume Family, YP aliyefariki jana ameagwa jioni hii katika viwanja vya TTC Chango’ombe jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kuzikwa katika makaburi ya Chang’ombe. Wasanii, wadau wa muziki na wananchi wengine walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho.
Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu baada kuaga
Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu baada kuuaga mwili wake

YP alifariki usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa katika hospitali ya wilaya ya Temeke kutokana na kusumbuliwa na kifua. Tazama picha.
Fella na Babu Tale kwa nyuma
Fela na Babu Tale kwa nyuma

Juma Nature akiwa na ndugu wa marehemu 2
Juma Nature akiwa na ndugu wa marehemu
IMG_6545
IMG_6560
IMG_6569
IMG_6570
IMG_6571
IMG_6589
IMG_6591
IMG_6593
IMG_6594
IMG_6596
IMG_6602
IMG_6603
IMG_6614
IMG_6620
-bongo 5