Sunday, April 19, 2015

YANGA SC NA ETOILE DU SAHEL KATIKA PICHA JANA TAIFA


Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwania mpira dhidi ya beki wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Boughattas Zied katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1. 

Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka akimtoka kiungo wa Etoile, Alkhaly Bangoura

Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipasua katikati ya wachezaji wa Etoile

Beki wa Yanga SC, Juma Abdul akimtoka beki wa Etoile, Boughattas Zied

Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimlamba chenga kiungo wa Etoile, Alkhaly Bangoura

Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Etoile, Naguez Hamdi