Edebayor ni aina ya mchezaji anaependa kuishi good life akiwa nje ya uwanja. Mara nyingi huwa anapendeza na mavazi ya madesigner maarufu duniani kama Giussepe Zanotti na wengine. Ukizungumzia magari basi Ade Mabao anayo ya kifahari kabisa. Marafiki zake nje ya uwanja ni watu wenine maarufu kutoka Africa kama P Square,Davido na wengine.
Cheki mapicha haya