Mtu mzima anapoongea maneno makali ambayo hujazoea kusikia akiyatoa hadharani huWa inamaanisha kitu kikubwa – amekerwa kupita kiwango.
Muongozaji mkongwe wa video Tanzania, Adam Juma ameandika ujumbe Instagram wenye maneno makali kuashiria kuna mtu/watu wamemuudhi.
Hiki ndicho amekiandika:
adamjumanxl:”Watanzania wabishi sana, miaka mitatu tu mtu anaanza kujifanya anajua kumpita mungu,,, kwa style hii hakuna atakae toka i swear to god!!!! Mimi kila siku najifunza ili siku moja nifanye kazi ninayoipenda kwa umakini sio kutengeneza video tu!!!! Wengine wanaona kushika kamera na kushot ndio mwisho, tunafanya kazi na watu wengine njee tunajifunza sana vitu mkiona nimenyamaza mnaona km f*la vile, ngoja sasa, ota v*zi kwanza pata watoto waende shule, jenga nyumba, acha k*nya choo cha baba, kama ni shabiki unadomo peleka kwenye sehemu flani amazing za unaempenda kabla kuhujanitest!!! Muda wa majeruhi ukiingia kwenye 18 zangu nakupendezesha halafu tunakuaga leaders.. “