
“@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa haya maisha laiti ungekuwa unaona cm anazopigiwa dogo na watu tofautitofauti ungemuonea hata huruma huyu bado dogo ajakomaa na hivyo vitu mnamchanganya mpaka tunashindwa kufanya kazi zingine tokea asubuhi dogo anaumwa presha kwa mipicha yako hiyo unayoipost na aliyekupa hizo picha namjua mwambie ajifiche atakavyojificha leo au kesho namtia mikononi waulize wenzio wanakijua hiki kichwa dakika moja mbele...