Wednesday, May 20, 2015

ANGALIA PICHA NA KIPANDE CHA VIDEO YA NICKI MINAJ NA BEYONCE NI BALAAAA

Ni collabo chache sana utakuta zinawahusu mastaa wa kike kwa pamoja.. hii inaingia kwenye list ya hizo chache, Nicki Minaj na Beyonce.
Kwa wakati mmoja wametoa behind the scenes na sehemu ya Video ya wimbo wao mpya ‘Feeling Myself’.. kazi hii ni moja ya kazi za kwanza kusambazwa na Kampuni Tidal inayosambaza kazi za muziki na kwa sasa ipo kwenye mitandao mbalimbali.