Sunday, May 24, 2015

DIAMOND THE PLATNUMZ AINGIA KWENYE TUHUMA ZA KUKODI MASHABIKI KWENYE TAMASHA LA JEMBEKA FESTIVAL

haya leo mjini hapatoshi huko kwenye mitandao ya kijamii eti katika show ya jana diamond alikodi madereva wa pikipiki na juzi kwa ajili ya kumpokea na kumsindikiza kwenye show viwanja vya ccm kirumba, but soma hapa namna msani mwenyeji na mzawa wa Mwanza alivyokanusha habari hizo
Diamond Plutnumz alikwenda mwanza kufanya show ya jembeka festival