Sunday, May 24, 2015

WEMA SEPETU APIGWA MSASA


Dear Wema Sepetu tunajua kuwa wewe ni mrembo ambaye umejitahidi kudumu na ku-maintain jina lako kwa muda mrefu tangu unyakue taji la miss Tanzania 2006.
Ukweli tumeona jitihada zako mbalimbali za kikazi umefanya vitu vingi sana vya kimaendeleo ikiwa ni pamoja na kutoa, muvi zako, kuandaa Tv program nkTukiachana na hayo Wema wewe ni msanii wa kike ambaye umebarikiwa na Mungu kwa nyota ya kupendwa ndio maana hadi sasa hivi tukiangalia list ya wanaume ambao waliwahi kukusumbua sumbua na kutaka penzi lako ni wengi, though kwamba kuna wengine walifanikiwa kabisa kuonja penzi lako na hatimaye kulitosa.
Swali kwako Wema Sepetu; Unaweza kutoa sababu 5 zinazo kufanya wewe ushindwe kuishi na wanaume moja kwa moja kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake? Inamaana wanaume wote wanao kufuata huwa wanamatatizo?
Mfano, Jumbe, Yusuf Jumbe, aliye kupokonya Kampuni, (Clement), & Final Diamond Platnuz why wakuache? kaachini tafakari utagundua huenda wewe unamatatizo mazito.
Hatujui kwa huyo uliye naye kwa sasa itakuaje hapo baadaye. Ila tambua kuwa unatutia wasiwasi sisi mashabiki wako .

Source DCC