Mtandao mmoja huko Ulaya baada ya kuandika sana habari za soka na wamekunja kona tofauti kidogo na kuandika kuhusu list ya wachezaji wa soka wenye mvuto sana. Kwa lugha yao unaweza kusema kama The most handsome soccer players. List yao ndio hii hapa kuanzia 10 hadi namba 1.