Kimesanuka....Usiamini Kila Ukionacho Instagram Roho Ikakutoka Hii ndio InstaGram Na Drama zake..Kumbe picha alizopost Huddah akionyesha yupo
kwenye private Party aliyokuwa huko banana Island Nigeria sio za kweli aliiba kwa account ya mtu na mwenyewe kajitokeza alipost kabla yake kupost..