Monday, May 4, 2015

HURUMA..!! Kajala Afunguka Maneno Mazito Kwa Wale Wote Waliomponda Kisa Kaenda Shoo Ya Zari

 Haya ndio maneno ya kajala baada ya kusakamwa na mashabiki wa wema sepetu via makubwa haya blog Ivi naomba niwaulize kuna sehemu yoyote nimewahi kwenda nikaulizwa kuhusu m13 nikakataa kwamba sikulipiwa kwann mnapenda kuendeleza mambo kwaiyo kama nililipiwa iyo ela sina ruhusa ya kufanya chochote coz nilisaidiwa wanadamu mnajidanganya sana jela anaenda mtu yoyote uwe umekosa au ujakosa sawa nyie miungu watu akuna mkosefu kwenu naombeni maisha yaendelee kwa amani nilikuwa sijui kama natakiwa kujifungia chumbani kwasababu nililipiwa m13 ndio nimejua sasa sina ruhusa ya kuwa kama binadamu wengine kisa nilisaidiwa daah mnakwaza sana anyway haya maisha tu leo mm kesho ww..... niko na mzee wa ufaransa @mcpilipili @mcpilipili