JAMANI HII SHEEDAH:HEBU SHUHUDIA ANACHOKIFANYA MASANJA HUKO MAREKANI
Unaambiwa Masanja Mkandamizaji anakula Good time akiwa Marekani kwa staili ya aina yake.Kama kawaida ya vituko vyake na uchekeshaji wake….hapa kuna video akiwa amepanda vigari vya matairi mawili akipita mitaa ya Marekani kwa mbwembwe huku akitoa komedi zake za kusema….amemuajiri mzungu kumzungusha jiji la Marekani.Unataka kujionea vituko vyake?Hapo chini nimekuwekea video zake mbili………..ENJOY!!