Monday, May 25, 2015

JOKATE KIDOTI, ALLY KIBA WAKIWA CHUMBANI LIVE!JE, UTATA WA MAHUSIANO WA MASTAA HAO SASA UMEMALIZIKA KWA PICHA HII?!


Unaonaje watu hawa ni kweli wanatoka au ni kiki?!
Tetesi za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto..Habari zinadai kuwa kuna “kitu” cha chini chini kinaendela kati ya msanii wa filamu na bongofleva nchini Jokate Mwegelo na mwana-bongofleva maarufu Ali Kiba baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja usiku wa manane katika ukumbi wa Dar live huko mbagala kwenye show ya Alikiba.Wadakuzi w mambo wanadai bidada Jokate alionekana akiwa nyuma ya stage akifuatilia kwa umakini show hiyo ya Alikiba usiku wote. Na alipofuatwa kuulizwa kunani kati yao wawili alijibu kuwa yeye ni shabiki tu.