Tuesday, May 12, 2015

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine wanateleza kwa stage huyo paparazi aliopiga picha alifanikiwa kuzoom na kipata picha mbaya lakin katika hali ya kawaida na watu waliokua wakicheza nae hawakuweza kugundua lolote'na kiubinaadamu kama muhandishi wa habari hakupaswa kuchagua picha ambayo kaonekana vibaya mana naamini alipata picha nyingi nzuri tu za kupost ila aliamua tu kumchafua'So Mashabiki kumbukeni alikua yupo kazini hakupanga itokee ivyo na yote mradi atoe burudani nzuri kama mlivyomzoea''ambae hana upeo mdogo wa kufikiria ataongea shit ila kaa jiulize ingekutokea wewe ungesemaje? naomba mtusaidie kurepost hii habari tunawapenda sana

Nuh Mziwanda