The shikorobo master Shetta “baba Qailah”, ameionja joto ya jiwe baada ya kushambuliwa vikali na followers wake kupitia mtandao wa Instagram.
Mwana Bongo flava huyo ali “post” picha yake hiyo hapo juu, akiwa bafuni na kuweka caption “Shetta Shettani” na mashambulizi yakawa hivi. Bofya picha ili kuikuza usome.