Lulu amesema kuwa miongoni mwa vitu vinavyo kuwa vikimchanganya nikupotea kwa ahadi na ndoto alizokuwa akipanga na kanumba kwani nimengisana walipanga lakini sasa yote yamekufa,kanumba ndie msanii ambae amefanikiwa kuipeleka sanaa ya filamu kimataifa baad
LULU ameieleza CHENGULA NEWZ kuwa kanumba ndie mtu alie mkuza na kumlea hivyo kanumba alikuwa na nafasi kubwa sana kwenye maisha yake kuliko mwanaume mwingine yeyote kwakuwa yeye ndio mtu wa pekee alie anza kumuweka kwenye nafasi ya kufahamika kupiti kazi yake ya sanaa ambayo ilikuwa ni ndoto yake sikumoja atafanikiwa na baada ya kukutana na KANUMBA mamboyake yalikwenda sawia
Pia kwasasa anasemakuwa imekuwa ningumu kwa yeye kujiingiza kwenye mahusiano mengine japokuwa amekuwa akisumbuliwa na wanaume wengi wakimtaka kuingia kwenye mapenzi lakini moyo wake bnado unaishi kwa KANUMBA