Thursday, May 21, 2015

RAIS KURUZINZA ANASWA UWANJANI AKILISAKATA SOKA...HANA HABARI NA MAANDAMANO

nziza2
Burundi kwa sasa iko kwenye vichwa cingi vya habari kutokana na hali ya machafuko ambayo ilijitokeza baada ya Rais Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wa kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.
nziza
Jaribio la kutaka kumpindua madarakani wakati akiwa Tanzania kwenye mkutano wa usuluhishi pamoja na Marais wengine wanaounga Jumuiya ya Afrika Mashariki halikufanikiwa na sasa uamuzi uliofikiwa ni kuahirishwa kwa uchaguzi wa Wabunge.
pier
Kingine kilichonifikia leo ni kwamba pamoja na machafuko yanayoendelea nchini humo Rais huyo kaonekana yuko zake uwanjani na wenzake akicheza mpira.nziza3
Mtu mmoja amepigwa risasi ya mgongoni na askari wanaolinda usalama katika mji wa Bujumbura wakati wakiandamana.nziza4