Hawa ni washiriki wa Mashindano ya Urembo wa Miss Udom 2015 wakipata chakula cha usiku ndani ya Matei Lounge ambao ndio waandaaji wakuu wa mashindano hayo,Usikose kushuhudia fainali za mashindano haya yatakayofanyika ndani ya Ukumbi wa kilimani landsmack ambapo mgeni rasmi Atakuwa ni Mh Anthony Mavunde, Mh Shabiby pamoja na Mh Juma Khamia |