Friday, May 29, 2015

UJUMBE WA WEMA SEPETU WA IJUMAA KAREEM

Kumbuka leo tuna NGUVU AKILI UWEZO na MUDA, lakini hatutaki kufanya MEMA! Ila tukumbuke DUNIA ni kama CHUMBA cha MTIHANI, Atakaefanya VIZURI ndie atakae FAULU. Tunadhani tumeumbwa ili tufanye tutakavyo!!?? HAPANA "Tumeumbwa ili tufanye IBADA.VINGINEVYO tuzingatie haya :- Yule MZEE Tunaemuona nae alikuwa KIJANA kama SISI, Na yule MGONJWA tumuone alikuwa na AFYA kama SISI, Na yule MAITI nae alikuwa HAI kama SISI, Kwasababu DUNIANI ni NJIA na ni KIPIMO kwa WANADAMU,basi NJIA hizi nasi tutapata. TUFANYE IBADA KABLA HAYO HAYAJATUKUTA. IJUMAA QREEM