Friday, June 12, 2015

Aliyekuwa Mke wa Mwanamuziki BOB JUNIOR Apata Tulizo la Moyo kwa Rafiki wa Bob Junior ..

junior
Mwamanuziki wa Bongo Flava ajulikanae kwa jina la Imbella Amejitokeza na kudai kuwa Aliyekuwa Mke wa Bob Junior kwa sasa ni Mpenzi wake na wana pika na kupakuwa kama kawa, Msanii huyo amedai kuwa yeye na Bob Junior walikuwa Marafiki sana kabla ya Bob Kumuacha Mkewe huyo... Kuna story kwamba walianza uhusiano wao tangu mwezi February baada ya ndoa ya Bob Junior kuvunjika. Hata hivyo Bob Junior alipoulizwa kuhusu hilo alisema hana mpango wa kuoa kwa sasa, na hajisikii wivu kuona mpenzi wake wa zamani akiendelea na mtu mwingine.

niliirekodi, iko kwenye hii sauti hapa.