Friday, June 19, 2015

Angalia Hii CV ya Mama Lwakatare ilivyo na Maajabu yake hadi mtoto wa Darasa la 5 atashangaa

kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa miaka mi tatu? 
Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary School
alianza mwaka 1962na kumaliza 1965.
pia nisaidien je elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja ? Maana yeye CV yake inaonesha
Korogwe Girls' High SchoolA-Level Educationalianza 1970na kumaliza 1971HIGH SCHOOL
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu
Eastern & Southern Africa Management InstituteBA(Mass Communication)alianza mwaka 1982 na kumaliza1983
 
NAOMBA WADAU MNISAIDIE TU MIMI NISIYE NA UTAALAMU NA ELIMU YA KALE NIELEWE KUULIZA SI UJINGA