Tuesday, June 16, 2015

KANGA MOKO:UDHALILISHAJI KWA WANAMKE KATIKA KUMBI ZA STAREHE.

ALILISHAJI KWA MWANAMKE WA KITANZANIA LKN WAKO WAPI WALE WATETEZI WA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE ?.
UDHALILISHA HUU UNAFANYWA KATIKA KUMBI ZA BAR ZA STAREHE ILI KUVUTIA WATEJA, SERIKALI IANZE KAZI YA KUDHIBITI WAMILIKI WA KUMBI WANAORUHUSIWA VITENDO HIVI NA WANAWAKE WENYE NAO WACHUKULIWE HATUA KALI ZA KISHERIA KWANI TUNA AMINI KUWA TABIA HIZI ZINAWEZA KUKOMESHWA NA MAMLAKA HUSIKA.