Saturday, June 6, 2015

Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda Kwa Kuonyesha Maumbile ya KIUME fake Kwenye Suruali zao ili Wasifiwe

Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa
bongo fleva, ommy dimpozi, kupost picha
kwenye ukurusa wake wa instagram,
ikimuonyesha staa huyo akiwa amevaa suruali
inayoonyesha kitu chenye muonekano kama
maumbile ya kiume , picha iliyozua gumzo
kwenye mitandao ya kijamii, uku wengi
wakimsifia staa huyo kwa kujaliwa na
maumbile. Ata hivyo haikujulikana ni kwa nin
staa huyo wa hit song ya wanjera aliamua
kufanya kioja hicho.
Hivi karibuni tena , mwanamitindo na manager
wa muigizaji Wema Sepetu aitwaye Martin
Kadinda, alifanya kioja cha aina yake ambapo
kama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpozi, na yeye
aliamua kupiga picha huku akiwa amevaa
suruali iliyoonyesha kitu mfano wa maumbile
ya kiume, hali iliyozua maswali ya sintofahamu.
Leo hasubuhi kupitia ukurasa wake wa
Instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu
bongo, Salma Jabu, maarufu kama Nisha ,
naye amepost picha ikimuonyesha amevaa
surual inayoonyesha maumbile ya kiume wakati
yeye ni mwanamke, hali iliyozua mijadala uku
wengi wakidai mastaa hao(martin na ommy )
wanafanya mchezo huo mchafu wa kuweka vitu
vinavyofanana na viungo vya kiume na
kuwadanganya watu, kuwa ni maumbile yao,
either kwa kutaka KICK au njia mojawapo ya
kujitafutia wanawake kama ilivyo kwa mastaa
wengi wa kike, wanavyo post picha instagram,
ikiwaonyesha wana makalio makubwa ili
wawavutie wanaume wakati sivyo walivyo,
wengi wao wamekuwa wakitumia application
maalumu ya kubadili maumbile yao.
Baadhi ya wadau mbali mbali wamewataka
mastaa hao kuacha huo mchezo mara moja,
licha ya kujishushia heshima zao, mastaa hao
wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea
matendo yaliyo kinyume na maadili yetu na sio
kuchochea maadili mabovu.