Ali Kiba alitumia siku tatu kuzunguka maeneo mbalimbali ndani ya Dar kwa usafiri wa daladala ajili ya kukutana na fans wake na kupiga nao story.. ilikuwa kitu ambacho kilivutia watu wengi kushare usafiri mmoja na staa wa muziki TZ, mmoja wa abiria aliuliza kuhusu ishu ya Ali Kiba kuchelesha video !!
Jibu lake ilikuwa Video ya Chekecha Cheketua imechelewa kwa sababu ya machafuko ya Xenophobia ambayo yalitokea South Africa, wakashindwa kwenda kushoot video.
Ninazo pichaz za Behind the scenes, hii ni dalili kwamba tukae tayari kwa mara nyingineAli Kiba kuachia kazi hiyo ambayo imefanywa Afrika Kusini.