Tuesday, June 9, 2015

SHETA SHIKOROBO AMTUKANA NEY WA MITEGO.

 
Shetta shikorobo master amemtukana msanii mwenzake Emmanuel Eribariki jina la sanaa Ney wa Mitego nakumdhalilisha vibaya jinsia yake.Neema wa Mitego jina la jinsia ya kike bila aibu amemwita msanii huyo mwenye mwili wa miraba minne na watoto watatu.Baadhi ya wasanii waliowahi kumdhalilisha kijinsia Ney wa Mitego ni Nikki Mbishi alipotunga nyimbo ya neema wa mitego akimmaanisha Ney wa Mitego na Diamond Platnum aliyemwabie akamnyonyeshe mwanae Curtis.