Friday, June 19, 2015

HAKI YA MUNGU SINTAH NI KIBOKO YAO.... AMCHAMBA FAIZA BILA KUTUMIA MAJI..ARUSHA VIJEMBE HATARI SANA..



Lile vazi la Faiza Ally KTMA lamfanya Sintah kuropokwa haya kuhusu Faiza:

'Wakati mwingine lazima ujiulize hivi sie binaadam zimo kichwani ama, mtoto mwenye heshima aliyezaliwa na wazazi wake no matter what hawezi kufanya huu ujinga, huyu ndio maana sugu alimpiga chini maana aliona mbali, mtu anawakilisha jimbo anakuwa na demu mcharuko zaidi ya dagaaa katika chungu? uvaaaji gani huu yarabi but somehow i blame kwa
waliotoa kadi maana utapelekaje watu kama hawa katika awards? mnaacha kuwapa watu wa maana na shughuli zao mnawapa watu wanaokuja kutega mingo, maana kama sio kutega mingo hiki ni nini?? anyway Mh Sugu kaa na mzazi mwenzio umwambie maana tangu aachane na wewe naona zimemruka kichwani , hata kama hupo naye ila ana mtoto wako unakubalije mama wa mtoto wako