
"Leo ndio bday yangu sasa June 15th Jana ilikuwa party tu Am a proudly Gemini. Na huyu ndio mtu pekee ninae ishi nae ndani ya nyumba tuko wawili tuuuuuu. Nikianguka ndio atakuwa wa kwanza kutoa taarifa msimuone hivi anajua kiiiiila kitu na anaongea kama mtu mzim