Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni..Lulu Adai Diamond Ampe Kazi
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo hasubuhi,ambapo msanii huyo alipo ipost kwenye ukurusa wake wa instagram. Video hiyo ikimuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro, imewashangaza watu, haswa kwa uchezaji mzuri:thumbup: na style ya msanii huyo.
Wadau mbali mbali walimpongeza staa huyo, kwa uwezo wake wa kukizungusha kiuno na uchezaji wa aina yake, uliowafanya watu wengi wavutiwe na video hiyo, ambayo imezagaa kwenye mtandao maarufu wa instagram.
Lulu Aliandika Hivi: Imenifika Hapaaaaaaaaaaaaaa ANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika 1 ️na Nusu tuIna HADI part 10alafu Hapa nimecheza kwa Aibu Dai Nipe kazi kama vp" Lol! kazi umepata Mama #Sankoro #NaNa