BREAKING NEWZZ.....LOWASA AACHA UKIMYA AANDIKA HAYA MANENO MAZITO FACEBOOK MDA HUU
Nimefuatilia mchakato wa uchaguzi kupitia CCM kwa umakini mkubwa, naomba niwapongeze wajumbe wote wa mkutano mkuu kwa kumaliza salama na niwatakie safari njema kurudi majumbani.