Kiwanja cha mwanamuziki Led Jaydee aka Komando Jide ,kina pigwa mnada na benki ya EFC Tanzania Limited.Darcitycenter tuliamua kumtafuta meneja wa msanii huyo Waakazi ilikuweza
kudhibitisha swala hilo na alifunga haya .
”Sifahamu chochote kuhusu hilo swala ”. Wakazi
source Darcitycenter.com