Sunday, July 19, 2015

Hawa Ni Watoto Wa Kike Kutoka Rwandan Army!! Ohh Mama Mia!!

Rwanda-Army11
Watu wengi wameshazoea kwamba wanajeshi lazima uwe na sura ngu… hivi, hakuna watoto wakali na nini! lakini kwa jeshi la Rwanda ni tofauti aisee watoto wakali kinoma, imeletea mijadala kibao kwenye mitandao ya kijamii.
rwan

Watu wakaanza kusema kama wanajeshi wao wako hivyo itakuwaje kwa walimbwende wao? Ni shida itakuwa, lakini Rwanda kunasifikia kwa watoto wakali….

Mjadala ukaendelea na wanajeshi wa kike kutoka nchi nyingine zinazounda Jumuiya aya Afrika mashariki na kati nao wapost picha zao tuone…Unadhani nchi gani itakuwa ya mwisho? LOL!