Saturday, July 11, 2015

HIVI NDIVYO TEAM ALIKIBA NA TEAM DIAMOND PLATNUM ZINAVOATHIRI WASANII WENGINE TANZANIA

wakati vuguvugu za Team Alikba na Team Dangote Diamond platnum zikipamba moto kumbe zinasababisha wasanii wengine wenye vipaji vikubwa kufichika kwa kiasi kikubwa sana.
Mfano mzuri kuna msanii Timbulo ni juzi juzi kaachia wimbo wake uitwao YUPO ni wimbo mzuri wenye mpangilio mzuri wa mashairi na sauti lakini unakosa promo kutokana na wengi wa mashabiki kuweka akili na masikio kwa hawa vinara wawili
Hebu chukua dakika kadhaa kumsikiliza Timbulo na wimbo YUPO