Irene Uwoya Naye ajitosa kwenye Siasa......Achukua fomu ya Ubunge viti maalum Tabora
Msanii wa Bongo movie, Irene amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM huko Tabora.
Hizi ni picha alizotutumia wakati akikabidhiwa fomu hiyo.