Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka wachezaji wa JKU katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. JKU ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimtoka beki wa JKU |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipambana na beki wa JKU |
Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimtoka mchezaji wa JKU |
Winga wa Yanga SC, Andrey Coutinho akipasua katikati ya wachezaji wa JKU |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe (kushoto) akiwa ameruka juu kupiga mpia kichwa |