MENEJA WA DIAMOND PLATNUM AMCHEKA ALI KIBA.
Kesho video aliyoshilikiswa Diamond Platnum na msanii wa Nigeria K cee yenye jina love boat itaachiwa.Inasemekana ni video kali sana itakayo mweka Diamond kwenye mzunguko wa media za Afrika.Meneja huyo amemcheka Ali Kiba kwa kuchecheme na video mbili pekee cheketua na mwana kwenye media za Africa.