Show ya road to mama inayoandaliwa na kituo cha runinga maarufu kama MTV Base kama sehemu ya kusheherekea tuzo za MTV Base mwaka imefanyika Nigeria kwenye hoteli ya Federal Palace.
Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo ni Phyno, Diamond Platnumz, Patoranking na Yemi Alade, Iyanya, Olamide.Hizi ni picha za kutoka kwenye show hiyo.