Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
hongera sana kwa hatua uliyofikia..
Inapendeza eeeh!
Nyumba iko MBEZI ya KIMARA jijini DAR ES SALAAM .
Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana NA shughuli zake za muziki.