Thursday, July 2, 2015

UDOGO WA MWILI WA NUH MZIWANDA WAMLAZIMU KUKURUKA HATARI KWENYE MWILI WA SHIOLE.

Nuh Mziwanda mupenzi alali wa Shilole kutokana kuwa na maumbile madogo ya mwili huku mpenzi wake akiwa mwili nyumba inampasa kutumia nguvu ya ziada kumuimili mdada huyo.Nuh Mziwanda hajawahi onekana akimbebe mpenzi wake huyo hadharani kutokana na ubavu kuwa mdogo.Ingawa kwa sasa shuhuli ya kupigwa makofi na mdada huyo imepumzika Nuh anaitaji gym kukuza msuli.