Faiza Ally Amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele..... Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.... Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !!!!!! Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ????? Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja ! Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally