LOWASA AWAACHISHA KAZI HAWA WAFANYAKAZI WA BANK YA EXIM
LOWASA AWAACHISHA KAZI HAWA WAFANYAKAZI WA BANK YA EXIM KWA ZAIDI YA SAA MBILI WAKIBAKI WAKIMSHANGAA HUKU WENGINE WAKIMSHANGILIA ..HII ILISABABISHA SHUGHULI ZOTE KUSIMAMA KWA MUDA NA BAADA YA KUCHUKUA FOMU NA KUONDOKA BADO MAZUNGUMZO YALIBAKI YAKIMZUNGUMZIA LOWASA