Saturday, August 22, 2015

MUONE HUYU MBULULA WA KIBONGO ANAYEMUIGA STAA KUTOKA MAJUU KUVAA NA MUONEKANO...NI SHEEDAH HII

Wabongo wanaiga lakini wenzao wanafanya hivi wakiwa na sababu mhimu kwa ajili ya kuingiza mkwanja hawadanganywi kama wabongo wanaokubali kupiga picha za ovyo bila sababu mhim kisa mapenzi mbongo usiige sasa hapa mwenzio anatengeneza mkwanja