Picha 19 za matukio mbalimbali yaliotokea Uwanja wa Taifa katika mechi kati ya Yanga Vs Azam FC.
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yangawakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Azam FC, timu ambayo ilikuwa ina miliki ngao hiyo.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na Ngao ya Hisani walioitwaa mbele ya Azam FC