Friday, August 21, 2015

VIDEO: Maneno ya Irene Uwoya kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.

IreneIrene Uwoya ni mwigizaji kutoka bongomovie Tanzania na amekua miongoni mwa Wanawake watano wanaotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza Tanzania, mwaka huu 2015 ameingia kwa mara ya kwanza kwenye siasa na kupita kwenye Ubunge wa viti maalum, bonyeza play umtazame kwenye hii video hapa chini.