Ikiripotiwa kupitia Luninga ya Citizen TV.
Imesemekana kwamba wanaume hao hulazimisha wake zao kuchukuliwa na watalii ambao wengi wao ni jamii ya wazungu, wachina na wahindi ili tu kuingizia familia kipato.
Watalii hao hupenda sana kuulizia wanawake ambao ni rahisi kudanganyika kwamba wataolewa.