Baraza la Sanaa Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.
Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.