Wednesday, September 9, 2015

MWANAMME ATUMIA SH. MILIONI 230 KUJIBADILI AONEKANE KAMA KIM KARDASHIAN

kim kardashian
Thalia Almodovar baada kubadilisha muonekano wake.
Kim-Kardashian-lookalike-Thalia-Almodovar (1)
Katika pozi.
Kim-Kardashian-lookalike-Thalia-Almodovar
...Akitabasamu.
Kim-Kardashian-lookalike-Thalia-Almodovard
Katika muonekano wake mpya
Thalia Almodovar alizaliwa mwanamme lakini amejibadilisha na kuwa mwanamke mwenye muonekano  wa mwanamitindo maarufu wa Kim Kardashian.  Mtu huyo ambaye anajulikana kama Bwana/Bibi Almodovar mwenye umri wa miaka 28 anafaidi fursa mbalimbali katika migahawa na vilabu mbalimbali kutokana na muonekano huo.  Almodovar alifanya hivyo kwani ni shabiki wa kutupa wa Kim.