

Msanii Joti akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli uliofanyika viwanja vya Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma.

Wasanii wa Ze Komedi wakionyesha uwezo wao wa kucheza kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli