SHUHUDIA MAFURIKO YA MHE.RIDHIWANI KIKWETE LIVE HUKO JUMBONI KWAKE CHALINZE
Asanteni sana Chalinze. Safari ya kutafuta Ridhaa yenu imeanza tena. Ni imani tuko sawa na matarajio yenu tutayafikia. Ninawaomba tena muniamini Mimi niwe Mbunge wenu, Madiwani na jembe Magufuli.Inang'ara CCM. # HapaKaziTu.