Picha,Vazi la Rihanna la usiku nchini Brazil,kila mtu alitaka kumpiga picha.
Rihanna ameonekana kwenye mgahawa wa watu maarufu nchini Brazil akiwa amecalia Bra nyeusi na nguo ya ndani nyeusi huku gauni alilovaa likionyesha umbo lake lote kwa ndani. Mgahawa huu upo Rio, Brazil.