Friday, January 30, 2015

VIDEO INAYOONYESHA JINSI IDRIS SULTAN NA OMMY DIMPOZ WALIVYOFANYA SUPRISE KUTEMBELEA SHULE WALIYOSOMA.

OmmyNi mastaa wa Tanzania ambapo Ommy Dimpoz ni mwimbaji na milionea Idris ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, wote hawa walisoma kwenye shule moja ya Mbezi High Dar es salaam kwa nyakati tofauti.
Baada ya kuupata umaarufu wakaona watumie time yao kuitembelea shule hiyo ya sekondari ambayo walisoma miaka kadhaa iliyopita ambapo pia walishea stori zao kidogo.
Kuona kuanzia mwanzo walivyoingia mpaka mwisho inabidi utazame hii video hapa chini mtu wangu…